Month: October 2023
Ummy: Rais Samia amedhamiria kuleta mapinduzi viwanda vya dawa na vifaa tiba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya viwanda hususani viwanda vya dawa na vifaa tiba. Amesema katika hatua hiyo, Rais Dk. Samia anaendelea kutoa fedha kwa…
Teknolojia mpya ya habari ya (AI) kuchagiza ukuaji habari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla hapa nchini, wameshauriwa kuitumia Teknolojia mpya ya kimtandao inayojulina kama Akili bandia (Artificial Intelligence), ili kukabiliana na changamoto ya uchumi na uhaba wa rasrimali watu katika…
Dk Biteko : Rais Samia anatamani mradi wa JNHPP uanze haraka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan anatamani Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uanze mapema ili Watanzania wapate umeme wa uhakika. Hayo yameelezwa leo Oktoba…
Watatu wafariki na wengine wanne wajeruhiwa katika ajali iliyotokea Mbala Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia ,Pwani WATU watatu wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani ikihusisha magari mawili kugongana uso kwa uso huko Kijiji cha Mbala, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani majira ya saa 3 usiku Oktoba 23/2023….
Rais Samia aweka shada la maua kaburi la Kaunda
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Lusaka Zambia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Jamhuri ya Zambia Hakainde Hichilema kuweka maua katika mnara wa Mashujaa uliopo viwanja vya uhuru kama ishara ya…
Serikali yaja na mkakati ya kuinua vijana kiuchumi
Na Mwandishi Wetu, JanhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inainua ustawi wa vijana kiuchumi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 24, 2023 na…