JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Katibu Mkuu TALGWU awapongeza wanachama kusimamia mipango miji

Na Zephania Kapaya, JamhuriMedia, DodomaKatibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), amewapongeza wanachama kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kusimamia ipasavyo suala la mipango miji, changamoto za ukuaji wa miji pamoja na kuchangia maendeleo endelevu katika Nchi…

Ummy : Hali ya lishe kwa vijana balehe bado ni changamoto

Na Mwamvua Mwinyi, Jamhurimedia, Mkuranga Tatizo la hali ya lishe kwa kundi la vijana balehe bado ni changamoto katika Mkoa wa Pwani ,licha ya mkoa huo kuwa wa kwanza kitaifa katika suala la lishe. Aidha tafiti za malaria na lishe…

Tanzania ya tatu kwa mazingira ya mazuri uwekezaji barani Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kulingana na tafiti za kimataifa Tanzania ni nchi ya tatu kwa Mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Afrika, ikitanguliwa na Nigeria…

Asasi, vyuo vikukuu wawasilisha mawasilisho 22 kwa HEET

ASISI na vyuo vikuu wamewasilisha mawasilisho 22 ya Maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa HEET, katika kikao kazi cha mradi wa mageuzi ya Kiuchumi kwa Elimu ya Juu. Mawasilisho hayo yamewasilishwa katika kikao kazi cha Wizara ya Elimu, Sayansi na…

Rais wa Ujerumani kutembelea makumbusho ya Majimaji, Songea

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema maandalizi ya kuupokea ugeni huo yamekamilika ambapo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songea ataenda moja kwa moja katika Makumbusho hiyo ya Vita vya MajiMaji. Amesema akiwa katika Makumbusho…

Utafiti wa viashiria matokeo ya VVU na UKIMWI 2022/2023 umekamilika huku kukiwa na matokeo chanya

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Taarifa za utafiti wa viashiria na Matokeo ya VVU na Ukimwi Nchini Tanzania kwa Mwaka 2022/2023 zimekamilika huku takwimu za Utafiti huo zikitarajiwa kutolewa rasmi Desemba Mosi Mwaka huu mkoani Morogoro katika maadhimisho ya Siku ya…