JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2023

Kazi ya kusambaza umeme vijijini mwisho Desemba 2023- Kapinga

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akitoa maelekezo kwa mkandarasi pamoja na wafanyakazi wake alipokagua vifaa vilivyopo katika karakana na mkandarasi huyo anayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vijiji vilivyo pembezoni mwa mji katika wilaya ya Tabora mjini, wakati wa…

NDC yajivunia mafanikio yake ndani ya mwaka mmoja

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC)limesema ndani ya kipindi cha mwaka mmoja linajivunia maendeleo yake kwa kufanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi ambayo imekuwa ikigusa sekta muhimu za kilimo, viwanda, madini, nishati pamoja na miundombinu ya…

Tutaleta umeme vijijini – Dk Biteko

Lilian Lundo na Veronica Simba Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema shauku ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuona kila Mtanzania anapata umeme bila kujali aina ya nyumba…

Mume aua mke na mtoto kwa kuwanyonga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia mwanaume mmoja (jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Kaloleni, Wilayani Songwe akituhumiwa kwa mauaji ya Editha Msokwa (38) na mtoto wake mchanga wa miezi sita, Esther Emanuel chanzo kikielezwa kuwa ni wivu wa…

Serikali kutumia muundo wa NMB umiliki wa mashirika ya umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kutokana na mafanikio makubwa iliyonayo Benki ya NMB, Serikali imesema inapanga kuutumia muundo wa umiliki wake kuchagiza tija katika kuyaendesha mashirika ya umma ili yawe na faida stahiki kwa taifa. Hiyo ni kwa mujibu wa Msajili…