Month: September 2023
Zaidi ya mbwa, paka 4000 kuchanjwa Kibaha
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mbwa na Paka 4400 wanatarajiwa kuchanjwa dhidi ya ugonjwa wa kichaa cha Mbwa kwenye Halmashauri ya Mji Kibaha kuanzia Septemba 28,2023 ambapo hafla ya uzinduzi wa maadhimisho itafanyikia kwenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa…
Madaktari wazawa waendelea kupandikiza figo Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaMadaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia…
MSD : Upatikanaji wa dawa nchini umeimarika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), Mavere Tukai amesema amesema kuwa upatikanaji wa dawa nchini umefikia asilimia 81 mwezi Juni 2023 kutoka asilimia 57 mwezi Juni 2022 jambo ambalo limechangia kurahisisha utoaji huduma nchini….
Bilioni 5.7/- kuunganisha kijiji cha Kapeta Landani kwa lami
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza ujenzi wa Barabara ya Kiwira–Landani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km 5 pamoja na daraja lenye urefu wa mita 40 kwa gharama ya shilingi…
Serikali yaahidi kuboresha vituo vya forodha nchini
Na Joseph Mahumi, WF, Kilimanjaro Serikali imeahidi kuboresha vituo vya Forodha mkoani Kilimanjaro, kwa kuweka vifaa vya kisasa, kuboresha majengo ya ofisi hasa jengo upande wa mizigo (Cargo), kuboresha mazingira ya nyumba za watumishi wa kituo hicho na kuongeza vitendea…
RC Kunenge asisitiza uadilifu WCF
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani,Abubakari Kunenge ametoa rai , kwa Uongozi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF )kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu ili kuepusha upotevu wa fedha za Serikali. Alitoa rai hiyo,wakati akifungua mafunzo…