Month: September 2023
Huduma za Posta Afrika zaimarika, Mawaziri wakutana kuweka mikakati ya pamoja
Na Immaculate Makilika – MAELEZO “Mamilioni ya wahudumu wa posta wasafirisha mabilioni ya barua na vifurushi kupitia maelfu kwa maelfu ya ofisi za posta kote duniani na hivyo kuzihudumia na kuziunganisha jamii kote duniani”, ameeleza Katibu Mkuu wa Umoja wa…
Swala ya Ijumaa,Masjid Al Rahmah, Mombasa Zanzibar
…………………………………………………………………………………………………………. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaomba waumini wa dini ya Kiislam nchini kuendelea kumuombea dua njema na kuliombea taifa kuendelea na amani, utulivu mshikamano na ushirikiano wa watu wake…
Bilioni 16.8 kutumika Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Miombo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kilimo na Chakula Duniani (FAO) wameanza kutekeleza Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Miombo unoafadhiliwa na Mfuko wa…
NMB yaahidizi makubwa kwa Dk Samia akifunga tamasha la Kizimkazi
BENKI ya NMB imemuahidi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwamba itaendelea kuwa mdau kinara wa Serikali yake katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Watanzania. Ahadi hiyo imetolewa jana Agosti 31 na Afisa Mtendaji…
Majaliwa:Serikali yaridhishwa na ukuaji sekta ya madini
Sekta ya madini ni miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi hapa nchini, hivyo Serikali imeendelea kuhakikisha uwekezaji katika Sekta ya Madini unaongezeka ili iweze kuchangia ipasavyo katika ukuaji wa uchumi. Takwimu zinaonyesha kuwa kwa sasa kasi ya ukuaji wa shughuli…