Month: September 2023
Kero ya maji kijiji cha Mpotora, wanakijiji waiangukia Serikali
*Watembea kilomita tano kutafuta maji Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Lindi Wanakijiji cha wa Mpotora Wilaya ya Kilwa, Kata ya Pande Plot ,wameiomba serikali kuwapatia maji safi na salama. Akizungumza na JAMHURI kwa niaba ya wenzake Selemani Hamza amesema kijiji chao, kimekuwa…
Lake Energies yazindua kampeni ya ‘Kumtua Mama Kuni Kichwani’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MAKUMI elfu ya akina mama na familia zao wa mikoa mitano ya Dodoma, Morogoro, Mwanza, Arusha na Geita, watanufaika na kampeni iliyozinduliwa jijini Dodoma na kampuni ya Lake Energies Group iliyopewa jina la ‘Tumtue Mama Kuni…
Tanzania ya tano kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Selimundu duniani
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya Tano Kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa selimundu (Sickle Cell) Duniani ambapo Kwa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu Cha Sayansi na Tiba Shirikishi (MUHAS) katika mikoa mitano ambapo zaidi ya wagonjwa 70000 wanapatiwa huduma katika…
Serikali yawataka wananchi kuondoka mabondeni kuepuka mvua za El Nino
Serikali imewatahadharisha wananchi kuacha kujenga na kufanya shughuli za kijamii kwenye maeneo ya bondeni ili kuepukana na athari za mafuriko zinazoweza kutokea na kuwasababishia madhara. Tahadhari hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe….