Month: September 2023
Serikali kuimarisha ulinzi na usalama
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali iimeendelea kutoa kipaumbele na imejidhatiti katika kuimarisha ulinzi na usalama ili wananchi na wafanyabiashara waendelee kutekeleza shughuli zao za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa jana jijini Dar es salaam na Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Bashe anadi fursa zilizoko kwenye kilimo, awakaribisha uwekezaji Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Dar Es Salaam Waziri wa Kilimo Hussein Mohamed Bashe amewakaribisha wageni kutoka mataifa mbalimbali kuja kuwekeza katika kilimo nchini Tanzania na kubainisha vipaumbele lukuki vilivyopo katika sekta hiyo. Majadiliano hayo pia yamehusisha viongozi mbalimbali akiwemo…
Jeshi la Polisi lapongeza NMB kupambana na uhalifu nchini
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi limeipongeza Benki ya NMB kwa namna ambavyo inashiriki katika mapambano dhidi ya uhalifu hapa nchini kwa kutoa elimu na ufadhili wa vipindi katika vyombo vya Habari Tanzania ambapo elimu hiyo…
Mkutano wa AGRF Kuinufaisha Tanzania
Na Alex Kazenga, Jamhuri Media, Dar es Salaam Mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika (AGRF- Africa Food Systems Summit 2023) unaofanyika nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) kuanzia leo, Septemba 5 hadi 8…
Serikali yaombwa kuwadhibiti wafanyabiashara walioficha mafuta Songea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia,Songea Waendesha bodaboda na vyombo vingine vya moto wameomba Serikali ione umuhimu wa kuchukuwa hatua za haraka kuwadhibiti baadhi ya wafanyabiashara wa vituo vya mafuta katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea ambao baada ya kusikia Serikali imevifungua…