Month: September 2023
Serikali yaimarisha mazingira ya uwekezaji sekta ya mifugo
Serikali ya Tanzania imesema kuwa imeboresha na kuimarisha mazingira ya kiuwekezaji katika sekta ya mifugo kwa kuondoa baadhi ya ushuru, kodi na vikwazo vya kikodi katika biashara ya mifugo na mazao yake . Hayo yamelezwa na Waziri wa Mifugo na…
EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 6 Septemba 2023 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Septemba 2023, bei za rejareja za mafuta …
DC Kibiti:Wazazi waliomtelekeza mtoto mwenye ulemavu wakamatwe
Na Mwamvua Mwinyi JamhuriMedia ,Pwani Mkuu wa Wilaya ya Kibiti,Kanal Joseph Kolombo ameagiza kufuatiliwa na kukamatwa , wazazi waliomtelekeza mtoto wao mwenye ulemavu wa viungo ,Theresia Moses tangu akiwa na miezi sita ,huku wao wakiendelea kula bata. Ameeleza, taarifa zilizotolewa…
Waziri Mavunde aiahidi ushirikiano Kamati ya Kudumu ya Bunge Nishati na Madini
#Zaidi ya Shilingi bilioni 52 zimetolewa na Migodi tangu kutungwa kwa Kanuni za CSR, 2018 – 2022 #GST kujengewa uwezo kufanya tafiti za kina Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameahidi kuipa ushirikiano Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati…
Muhimbili kupandikiza ini 2025
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua…