JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2023

Global Education Link yawashusha presha waliokosa nafasi vyuo vikuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi za kusoma vyuo vikuu  ndani ya nchi wasipate mfadhaiko wa moyo na badala yake wafike GEL…

Biteko : Viongozi nendeni mkawasikilize wananchi

Teresia Mhagama na Godfrey Lulinga Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali nchini kwenda kwenye maeneo ya wananchi kwa ajili ya kutoa huduma, kusikiliza kero zao na kuzitatua. Amesema hayo tarehe 28…

Rasmi vijana kupatiwa fursa sekta ya madini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanisha Programu ya Mining for Better Tommorrow ( MBT) itakayo wawezesha vijana kushirikishwa katika sekta ya Madini kwa kujengewa uwezo na kupatiwa mitaji , vifaa na mashine ili wachimbe madini kwa…

Waziri Kairuki akutana na Rais wa Baraza la Utalii Duniani, wajadili kukuza utalii nchini

Riyadh, Saudi Arabia Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Utalii Duniani (World Travel Tourism Council (WTTC) , Bi. Julia Simpson kwa lengo la kujadili…

Dar es Salaam yaongoza ugonjwa kichaa cha mbwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma ZAIDI ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ambapo mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma , Morogoro na Arusha. Jumla ya dozi…

Maofisa kutoka TANAPA wapata mafunzo ya ushirikishwaji wa jamii

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Arusha Maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), wamepatiwa mafunzo kutoka Kamisheni ya Polisi Jamii Dawati la Ushirikishwaji Jamii ambayo yamelenga kuwajengea uwezo wa namna bora ya ushirikishwaji jamii. Akitoa mafunzo hayo jijini…