Month: September 2023
Rais Samia: Hakuna aliye juu ya sheria
Na Immaculate Makilika, JamhuriMedia, MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa falsafa zake za maridhiano, ustahimilivu, mabadiliko na ujenzi mpya amezichukua kama msingi unaomuongoza katika kuongoza nchi ili isonge mbele kama Taifa kwa…
DED Rufiji-Kamati za ujenzi zilipe mafundi wa miradi ya Serikali kwa wakati
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Michael Gwimile ametaka kamati za ujenzi kuwalipa kwa wakati mafundi wa miradi mbalimbali ya maendeleo . Ameyasema hayo wakati akikagua miradi inayotekelezwa na Serikali ikiwemo majengo ya…
Watu 26 wafariki kwa ajali ya boti Nigeria
Takriban watu 26 wamekufa na wengine kadhaa haijulikani walipo kufuatia ya ajali ya boti hapo jana katika eneo la Mokwa kaskazini mwa Nigeria. Msemaji wa Gavana wa Jimbo hilo la Niger Bologi Ibrahim amesema boti hiyo ilikuwa na watu zaidi…
Rais Samia awataka wanasiasa kutumia vyema uhuru wa kutoa maoni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini kutumia mikutano ya hadhara kutoa hoja na fikra zenye tija zinazolenga kuimarisha utendaji serikalini. Rais Samia ametoa wito huo leo wakati…
‘Serikali haikuruhusu mikutano ya hadhara ili kuvunja sheria’
Serikali imesema kuwa haikuruhusu mikutano ya hadhara ili watu wakavunje sheria, kutukana, kukashifu, kuchambua dini za watu. Hayo yamesemwa na Rais amesema Rais, Samia Suluhu leo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akifungua Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya…
OSHA yatoa mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imefanya semina elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 10 Septemba, 2023, mkoani Arusha. Aidha,semina hiyo ililenga kutoa uelewa…