Month: September 2023
Vijana wahimizwa kutokubali kutumika kuvunja amani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Vijana nchini wamehimizwa kuepuka kutumika na baadhi ya watu wasio na nia njema ili kuvunja Amani ya Nchi hatua itakayosababisha maendeleo ya Taifa kuzorota. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,…
Basi la Abood lagonga Noah na kuua wawili
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamtafuta dereva wa gari namba T904 DKY Kampuni ya Abood kwa kosa la kugonga gari aina ya Noah lenye namba za usajili T828 DNB na kusababisha ajali iliyouwa watu wawili na wengine wawili kujeruhiwa….
Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi yanufaika na mafunzo kutoka Marekani
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi iliyopo Wilaya ya Temeke Barabara ya Kilwa Mkoa wa Dar es Salaam itanufanika na mafunzo ambayo yatatolewa kwa muda wa siku mbili na shirika…
NIC lapata mageuzi makubwa ndani ya miaka mitatu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeelezea mageuzi yaliyofanyika ndani ya miaka mitatu katika shirika hilo na kusababisha litoke kwenye kuzalisha hasara na kuzalisha faida. Katika kipindi cha mwaka 2019/20 NIC ilikua inazalisha faida ya Sh…
Taasisi ya Miriam Odemba Foundation kujenga matundu ya vyoo 40 S/M Mwendapole Kibaha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Taasisi ya Miriam Odemba ‘Miriam Odemba Foundation’ yenye makao yake Jijini Dar-eS-Salaam inatarajia kujenga matundu zaidi ya 40 kwenye shule ya Msingi Mwendapole pamoja na kukarabati jengo chakavu linalosomewa na watoto wa elimu ya awali…