Month: September 2023
Mji maarufu kwa vito Thailand waiomba Tanzania kuufungulia milango
Wafanyabiashara wa Tanzania wakaribishwa kushiriki Maonesho Oktoba Chanthaburi-Thailand Serikali katika mji mkongwe na maarufu kwenye shughuli na Biashara ya Madini ya Vito wa Chanthaburi nchini Thailand umeiomba Tanzania kuufungulia milango na kuimarisha ushirikiano kwenye uendelezaji wa Sekta Ndogo ya Madini…
Uchunguzi na tiba mishipa ya damu vyaimarishwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katika kuboresha huduma za kibingwa nchini Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa kifaa maalum chenye mfumo halisi wa mwili wa binadamu “Simulator” ambacho kitatumika kuendelea kuwajengea uwezo wataalamu wa Tiba Radiolojia (Interventional Radiology) kufanya…
RC Chalamila ashuhudia utiaji saini mikataba ya ujenzi ya barabara TARURA Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Agosti 12, 2023 ameshuhudia utiaji Saini wa mikataba ya kazi za ujenzi na matengenezo ya Barabara TARURA Mkoa wa Dar es Salaam yenye thamani ya Tshs….
Mkutano wa APIMONDIA kuipaisha Tanzania sekta ya ufugaji nyuki, utalii
Mkutano wa APIMONDIA kuipaisha Tanzania sekta ya ufugaji nyuki, utalii Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA Dar es Salaam.Mkutano mkuu wa 48 wa Shirikisho la wafuga nyuki duniani (APIMONDIA) umeipa nafasi Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la Kongresi ya 50 ya…
Rais Samia ateuliwa mjumbe Bodi ya Ushauri ya Kituo cha GCA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ameteuliwa rasmi kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Advisory Board of the Global Centre on Adaptation – GCA). Taarifa ya uteuzi…
Tanzania yakanusha madai ya kutoroshwa kwa wanyamapori kwenda UAE
Mdhibiti wa viwanja vya ndege nchini Tanzania amekanusha kuruhusu utoroshwaji wa wanyamapori kutoka mbuga ya kaskazini hadi nchi za Mashariki ya Kati. Inafuatia madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa wanyama pori hao walikuwa wakisafirishwa kwa ndege za mizigo kutoka Loliondo,…