Month: September 2023
Mavunde awataka watumishi Wizara ya Madini kuimarisha ushirikiano
#Apinga majungu sekta ya madini #Dkt. Kiruswa asisitiza njia ya kufikia malengo 2030 #Mahimbali asema Wizara itasimamia kikamilifu ukusanyaji wa Maduhuli Mwaka wa Fedha 2023/2024 Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Wizara na Taasisi zilizopo chini ya Wizara…
BOOST yatumia zaidi ya bilioni 1.2 kuimarisha sekta ya elimu Kibaha
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Dkt.Samia Suluhu Hassan imejenga shule za Msingi mpya mbili,Madarasa 13 na Matundu ya Vyoo 21 kwenye shule 8 za…
Siasa zenu zisiharibu uhifadhi Ngorongoro
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anashutumiwa na vyombo vya dola kwa kauli zake zinazowachochea wananchi kutotii mamlaka za nchi na sheria za uhifadhi. Akiwa wilayani Ngorongoro amewataka wananchi wanaohama kwa hiari kutotii mpango huo,…
Balaa la ‘Kamchape’, Asababisha hofu kwa wananchi, viongozi wa dini, serikali
*Augeuza mwambao wa Ziwa Tanganyika kuwa himaya yake *Paroko wa Kanisa Katoliki, viongozi wa Serikali wakimbia kuhofia maisha *Inspekta wa Polisi ajeruhiwa, apelekwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Katavi Na Mwandishi Wetu Katika hali isiyotarajiwa, mganga wa jadi anayeaminika kuwa na…
CCBRT kituo pekee kinachotengeneza jicho bandia Tanzania
Na Stella Aron, JamhuriMedia Katika kuhakikisha kuwa wananchi wana afya bora, Serikali imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa huduma za afya kwa kuzingatia sera na miongozo iliyopo. Sera ambayo imeendelea kutumika katika kuelekeza utoaji wa huduma za afya ilipitishwa mwaka…
Waziri Jafo, Balozi wa Japan wateta ushirikiano katika hifadhi ya mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini, Mhe. Yasushi Misawa katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo…