Month: September 2023
CUBA zakubaliana kushirikiana elimu ya juu, fundisha kiswahili CUBA na kuandaa kamusi ya kiswahili Kispaniola
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini Hati za Makubaliano ya kushirikiana kupitia elimu ya juu kwa kubadilishana wakufunzi na wanafunzi, kufundisha lugha ya kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba na…
Wananchi Mtwara Waishukuru Serikali kwa Hospitali ya Rufaa Kanda
Na Immaculate Makilika , JamhuriMedia -MAELEZO Wananchi wa Mkoa wa Mtwara wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwepo wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini mkoani humo. Akizungumza leo katika mahojiano maalum…
Taasisi ya teknolojia ya JR kuiwezesha CBE kutoa mafunzo ya akili bandia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano na Taasisi ya Teknolojia ya Habari JR Institute of Information and Technology ambao utakiwezesha chuo hicho kutoa mafunzo ya akili bandia na usalama wa mtandao. Makubaliano hayo yalisainiwa…
Majaliwa : Ongezeni ushiriki wa wahandisi wazawa kwenye ujenzi wa miradi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wahandisi wazawa wanashiriki kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini. Amesema kuwa kupitia utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa…
Shekimweri ataka kuundwa timu ya fuatiliaji anwani za makazi kuboresha huduma za kijamii
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini,Jabir Shekimweri amesisitiza kuundwa kwa timu ya ufuatiliaji na tathmini ya zoezi la Anwani za Makazi ili kufanikisha azma ya Serikali ya kila Mtu kutambulika kirahisi mahali anapoishi. Amesema hatua…
Dk Biteko atoa maelekezo EWURA kuhusu bei ya mafuta kupanda
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti huduma za Nishati na Maji (EWURA), imesema itahakikisha inashughulikia kwa haraka changamoto zinazopelekea uhaba wa mafuta nchini unahimilika kwa kupitia mfumo mzima wa upangaji wa bei ili kusaidia wananchi kuwapunguzia kiwango cha…