JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2023

CBE yafanya uwekezaji mkubwa vipimo na viwango

*Wanafunzi wa vipimo kusoma kwa vitendo zaidi Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya kisasa kwenye idara yake ya vipimo na viwango hususan kwenye upimaji wa mafuta ya vyombo vya moto. Hayo…

DKT. Mwinyi azindua ubalozi wa Tanzania Cuba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.  Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Havana nchini Cuba katika hafla maalum iliyofanyika jijini Havana tarehe 14 Septemba 2023. Akizungumza katika uzinduzi wa Ubalozi huo…

TRA Dodoma yazindua kampeni ya Tuwajibike awamu ya pili kuwakumbusha wafanyabiasha kutumia EFD

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya mapato Tanzania Mkoa wa Dodoma(TRA) kupitia kampeni yake ya Tuwajibike imewashauri wafanyabiasha kuwa na mwamko na utamaduni wa kutoa risiti pindi wanapofanya mauzo ili kusaidia kuongeza mapato ya Serikali. Hayo yameelezwa leo September 15,2023…

TASWA Media Day bonanza kufanyika Desemba 9,2023

Tamasha maalum kwa ajili ya wadau mbalimbali kutoka vyombo vya habari ‘TASWA Media Day Bonanza’ linatarajiwa kufanyika Desemba 9, 2023. Lengo la bonanza hilo linaloandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ni kuwaweka pamoja kubadilishana mawazo na…

Waziri Mkuu azindua mpango mkakati wa AMREF

*Asisitiza mashirika yasiyo ya kiserikali yazingatie maadili WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua Mpango Mkakati wa miaka nane wa AMREF Tanzania na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kufanya ufuatiliaji ili kuhakikisha afua zilizopo katika mpango huo zinatekelezwa kwa ufanisi na kuboresha huduma…

Korea Kusini yakaribishwa kuwekeza Tanzania

Na Na: Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Korea ya Kusini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo nishati na kilimo nchini Tanzania ili iweze kufikia lengo la kuwa na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Balozi wa…