Month: September 2023
DC Kibaha acharuka wafanyabiashara kuuza chakula kwenye mazingira
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Simon John amekemea vikali suala la wafanyabishara kuuza vyakula hasa vilivyopikwa kwenye mazingira machafu alipowaongoza wananchi wa Kibaha kufanya zoezi la maadhimisho ya usafishaji mwishoni mwa wiki kwenye soko…
EWURA yafungia vituo vitatu vya mafuta kwa miezi sita kwa kuficha mafuta
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia vituo 3 vya uuzaji mafuta kwa muda wa miezi sita Camel Oil- Gairo Petrol Station chenye leseni namba PRL 2019-164,PETCOM-Mbalizi Petrol Station chenye Lessen namba…
Kairuki Hospital Green IVF yaleta tabasamu kwa wasiopata watoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kituo cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF (KHGIVF), kimeendesha mafunzo kwa madaktari wa hospitali mbalimbali kuhusu namna bora ya upandikizaji mimba. Mafunzo hayo yametolewa leo kwenye kituo hicho, Bunju A Mianzini jijini Dar es…
Ruangwa wajivunia Rais Samia
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi wameonesha kupongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na ujio wake katika Wilaya hiyo umewapa faraja. Wakazi hao wakizungumza katika nyakati…
‘Watumishi wa umma jiepusheni na mikopo ya kausha damu’
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete (Mb) amewatahadharisha Watumishi wa Umma kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa maarufu kwa jina la ” Kausha Damu” huku akisisitiza kuwa mikopo ya aina hiyo…
RC Chalamila: Usafi Dar ni ajenda ya kudumu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani katika viwanja vya Zakhiem Mbagala Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. RC Chalamila…