Month: September 2023
Huduma za CT Scan kuwanufaisha wananchi wa Lindi na nchi jirani
Na Mwandishi Wetu-WAF , JamhuriMedia, Mtwara Huduma za CT-Scan katika Mkoa wa Lindi zinakwenda kupunguza adha ya wananchi kusafiri kwa umbari mrefu kufuata huduma hizo Mikoa ya jirani. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel kwa niaba…
Tume yatangaza matokeo Jimbo la Mbarali na kata sita za Tanzania Bara
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura amemtangaza Bi. Bahati Ndingo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 44,334 kati ya kura 56,095 halali zilizopigwa kwenye…
Majaliwa : Tanzania kuwa wazalishaji wakubwa nishati
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa mzalishaji mkubwa na nishati. “Tunaendelea na utafutaji wa gesi, tunataka tuwe wazalishaji wakubwa wa nishati, tuwe na…
Prof. Ndalichako: Ajira 11,315 kuzalishwa na kiwanda cha sukari cha Mkulazi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri kitachangia ongezeko la ajira kwa watanzania kwani kinatarajiwa kutoa fursa za ajira…
Madini Vision 2030 kutangazwa Indonesia
Ushirikiano Tanzania, Indonesia waimarishwa Madini ya Kimkakati kupewa kipaumbele Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe. Tri Yogo Jatmiko amesisitiza kushirikiana na Tanzania katika kutangaza Mwelekeo Mpya wa Wizara wa VISION 2030: Madini ni Maisha na Utajiri ili kutangaza fursa mbalimbali…
Mpango: Ushirikiano unahitajika ili kuitekeleza vyema kampeni ya uwekezaji Afrika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo, taasisi za fedha za ndani, azaki pamoja na taasisi za elimu na utafiti ili kuitekeleza vema kampeni…