Month: September 2023
Tanzania yang’ara kwenye viwanda
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia amefungua kiwanda cha vifaa vya ujenzi (Sapphire Float Glass Tanzania), chenye thamani ya dola za Marekani milioni 311. Akizungumza wakati anafungua kiwanda hicho leo Mkuranga,…
Wananchi wahimizwa kuchangamkia fursa ya makaa ya mawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi. Akizungumza wakati…
Bashungwa: Rais Samia yupo ‘serious’ na ujenzi wa barabara nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini unafanyika kwa umakini na viwango vya ubora chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Bashungwa…
ACT Wazalendo yapinga matokeo ya ubunge jimbo la Mbarali
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakikubaliani na matokeo ya ubunge yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kutangazwa jana na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Missana Kwangura . Kauli hiyo ilitolewa na Katibu…
Tanzania na SOS kushirikiana katika mikakati ya malezi na ustawi wa mtoto
Na WMJJWM, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Shirika la SOS Children’s Villages wamekubaliana kuendelea kuwekeza katika mikakati ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ili…
Rais Samia: Serikali imetenga hekta 60,000 kwa kilimo cha umwagiliaji mpunga Rufiji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Serikali imetenga eneo la ukubwa wa hekta 60,000 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji wa zao la mpunga katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan…