JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2023

Serikali yapanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji miamba

•.Oktoba 2023 mitambo mitano itatolewa mkoani Dodoma .Sekta inachangia asilimia 56 ya fedha za kigeni Na Mwanfishi Wetu, JanhuriMedia Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa miamba kwa ajili ya utafiti wa kina wa Madini….

Waziri Silaa ataka wananchi kulinda maeneo ya wazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka wananchi kuyalinda na kuyaendeleza maeneo ya wazi kulingana na matumizi yaliyopangwa. Silaa ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati alipofanya ziara ya kukagua maeneo ya…

Wizara ya Ardhi kutoa elimu nyepesi kuhusu umiliki ardhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema wizara yake iko mbioni kutoa elimu nyepesi kwa wananchi kuhusu hatua mbalimbali za umiliki ardhi na jinsi ardhi inavyoweza kuhamishwa kutoka mmiliki moja kwenda kwa…

MAIPAC kusaidia kompyuta shule ya Arusha Alliance

Mwandishi wetu, Arusha Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia Jamii za pembezoni (MAIPAC) imeahidi kutoa msaada wa kompyuta kwa shule ya msingi ya Arusha Alliance ambayo inamilikiwa na Walimu ili kuwezesha wanafunzi kusoma masomo ya TEHAMA. Mkurugenzi Mtendaji wa MAIPAC,Mussa Juma…

‘Tutaendelea kupokea maoni ya wadau kuboresha sera za wananchi kiuchumi’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imesema itaendelea kupokea maoni ya wadau ya kuboresha sera za Uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa makundi mbalimbali ikiwemo vijana, wanawake na watu wenye Ulemavu katika sekta zote nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri…

Musiigeuze Mediterenia kuwa bahari ya mauti – Papa Francis

Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amelaani kile alichokiita “uzalendo wa uadui” na ametaka Ulaya iungane kushughulikia uhamiaji ni kuzuia kuigeuza Bahari ya Mediterenia kuwa “kaburi la heshima”. Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki ameyazungumza kwenye hotuba yake refu ya…