JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2023

Green Acres kuwakatia bima wanafunzi wote

·  Green Acres yaahidi kuendelea kuwa moto kitaaluma Na Mwandishi Wetu Shule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka 2023 / 2024 ikiwemo kuwakatia bima wanafunzi wa shule hiyo. Pia imeahidi kujenga maabara, chumba cha compyuta, kuboresha na…

Maadhimisho Siku ya Moyo, JKCI kufanya vipimo vya moyo Dar

Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu “Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako” wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na…

Tabora yaongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa malaria, MSD yaweka kambi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkoa wa Tabora umetajwa kuwa wa kwanza kitaifa kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa malaria hali inayotokana na imani potofu ya matumizi ya vyandarua vyenye dawa kuwa vinapunguza nguvu za kiume. Takwimu zinaonyesha…

Waziri Mollel: Sekta ya afya nchini yapata mafanikio makubwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wizara ya Afya imesema, juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan hususani katika kuimarisha Sekta ya Afya nchini zimewezesha sekta hiyo kurekodi mafanikio makubwa. Hayo yamesemwa leo Septemba…

NMB JAMII BOND: Hatifungani mpya kwa uwekezaji wenye tija

BENKI ya NMB, imezindua rasmi Programu ya Muda wa Kati (Multicurrency Medium Term Note – MTN) yenye thamani ya Sh Trilioni moja, pamoja na kufungua Dirisha la Uwekezaji wa Toleo la Kwanza la Hati Fungani ya Jamii (NMB Jamii Bond)….

Majaliwa : Serikali kutumia bil. 42/- mradi wa maji Muleba

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kujenga mradi wa maji wa sh. bilioni 42 kwa ajili ya kuvuta maji kutoka Ziwa Victoria na kuyasambaza kwenye kata sita za wilaya ya Muleba. “Kwa kuanzia, Serikali imetoa sh. milioni 800 kwa…