Month: September 2023
Mradi wa maji vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Barrick Tarime ulivyowakomboa wananchi
Na Helena Magabe, Jamuhuri Media Tarime. Kulikuwa mvutano mrefu juu ya mgawayo wa pesa za CSR pale kiongozi mmoja aliyekuwepo Mara alipotaka pesa hizo zigawanywe kwenye wilaya nyingine nje Tarime. Hali ilipelekea mgodi kusimama kwa muda kusubilia mvutano uishe hivyo…
Dk Biteko ataka unyanyasaji wa kijinsia ukomeshwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi mbalimbali nchini kuzungumza na wananchi suala la ukomeshaji wa unyanyasaji wa kijinsia ili kujenga jamii iliyo bora na inayojiamini. Dkt.Biteko ambaye pia ni Mbunge…
Serikali yafanya juhudi kudhibiti mfumuko wa bei hasa bidhaa za chakula Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikaki ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanya juhudi za makusudi kudhibiti mfumko wa bei hasa kwa bidhaa za chakula nchini. Aidha, imetoa agizo kwa wafanyabiashara wote wa vyakula kupunguza bei ya sukari ambayo ushuru wake kwa Zanzibar…
Dhahabu ya GGR yaifungua Tanzania kimataifa usafishaji madini
GGR kuleta mabadiliko katika uongezaji thamani madini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Imeelezwa kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na mwekezaji Mtanzania Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa katika usafishaji wa dhahabu duniani….