JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2023

Abria 40wanusurika kifo ajali ya basi la Mining Nice Lindi

Abiria 40 waliokuwa wanasafiri na Basi la Kampuni ya Maning Nice kutoka mkoani Mtwara kwenda Morogoro wamenusulika kiifo kufuatia gari walilokuwa wakisafiria kuacha barabara na kupinduka. Kwa mujibu wa mashuhuda na abiria waliokuwa wanasafiri na basi hilo walisema ajali hiyo,imetokea…

Serikali kuwaunga mkono vijana wabunifu

Serikali imesema itaendelea kuwaunga mkono vijana wanaobuni teknolojia mbalimbali zinazosaidia katika kutatua changamoto za mazingira zinazoikabili nchi yetu. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo wakati akifungua Kongamano la Bunifu…

Wathibti ubora wa shule nchini watakiwa kuzingatia viwango vya ubora katika elimu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Wathbiti Ubora wa Shule nchini wametakiwa kuhakikisha shule zinakuwa na viwango vilivyowekwa na Serikali katika miundombinu, ufundishaji, vitendea kazi na maudhui yanayofundishwa watoto ili kuwawezesha kupata elimu iliyo bora. Akizungumza na Wathibiti ubora wa shule Jijini…

Majaliwa: Seriali kuyaenzi mambo yote yaliyofanywa na marehemu Membe

Wazri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuyaenzi mambo yote mazuri yaliyofanywa na marehemu, Bernad Membe wakati wa utumishi wake Serikalini. Marehemu Membe ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje alifariki dunia Mei 12 mwaka huu katika hospitali ya…

Muhimbili yafanya upasuaji wa kwanza kuondoa bandama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaHospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa bandama lenye shida kwa mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (laparoscopic splenectomy) Upasuaji huu ni wa kwanza kufanyika hapa nchini ambao umefanywa na madaktari wa upasuaji wa MNH…

Tanzania yapongeza azimio la kuanzisha kwa mfuko wa GEF

Tanzania imepokea na kupongeza azimio la kuanzishwa kwa Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) na kusisitiza kuwezesha utekelezaji wa Mkakati wa Dunia wa Kuhifadhi Bioanuai kupitia Mikakati ya Kitaifa ya Kuhifadhi Bionuai. Hayo yamebainishwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Saba…