JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2023

Majaliwa aiagiza BoT kuzisimamia benki katika maboresho ya riba

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza Leo,Agosti 3, 2023, katika banda la BoT mara baada ya …

Waziri Kijaji ataka wenye viwanda kuzalisha bidhaa zenye ubora

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza  bidhaa zenye ubora  kwa gharama nafuu  ili ziweze kuingia katika soko  Eneo huru la biashara Afrika (AfCFTA) Ameyasema hayo Agosti 3, 2023 alipotembea Kiwanda cha kuzalisha Maziwa…

Mradi wa ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba umeleta ajira

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi…

Waziri Mabula akagua ujenzi mradi soko la madini ya Tanzanite Mererani

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa soko la Madini ya Tanzaniate katika mji mdogo wa Mererani wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara. Ujenzi wa mradi wa soko…