JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2023

Majaliwa:Wekeni kipaumbele kuendeleza vijana

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na wataalamu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa waweke kipaumbele katika kuendeleza vijana ili washiriki kikamilifu kwenye shughuli za kuinua uchumi na kuwapatia ujuzi na mbinu za ujasiriamali. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesisitiza kila mkoa…

Ofisi ya Msajili vyama vya siasa yakutana na ACT – Wazalendo

Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ambaye pia na katibu wa Habari na Uenezi Chama cha ACT Wazalendo Salim Biman ameuongoza ujumbe wa chama hicho katika kikao cha pamoja kati ya ACT – Wazalendo na ujumbe wa Msajili wa Vyama vya…

Benki ya Dunia yasitisha mikopo Uganda

Benki ya dunia imetangaza inasitisha mikopo mipya kwa Uganda kutokana na nchi hiyo kupitisha sheria kali dhidi ya watu wa jinsia moja walio katika mahusiano ya kimapenzi. Benki hiyo ilisema sheria hiyo inayoharamisha LGBTQ iliyopitishwa miezi michache iliyopita inakwenda kinyume…

Mkurugenzi Safaricom ajiuzulu

Aliyewahi kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mwanzilishi na baadaye Mkurugenzi wa Bodi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom PLC, Michael Joseph amejiuzulu wadhifa wake, taarifa ya Safaricom imesema uamuzi huo umefanyika Agosti 1. Joseph, ameshiriki kuongoza kampuni hiyo katika nafasi mbalimbali…

Mafuriko yaua 33 Beijing

Watu waliofariki kutokana na mafuriko katika mji mkuu wa China, Beijing imeongezeka na kufikia 33 wakiwemo waokoaji watano huku watu wengine 18 wakiwa hawajulikani walipo. Mafuriko hayo yalianza Agosti 5, 2023 Magharibi mwa Beijing na kusababisha kuporomoka ya nyumba 59,000…

RC Chalamila aongoza mamia ya wakazi Dar kuaga miili ya Sia, Diana na Norah

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Agosti 8, 2023 ameongoza mamia ya waombolezaji katika viwanja vya Golf Lugalo kuaga miili ya watu watatu (3) waliofariki kufuatia ajali ya gari iliyotokea Agosti 3, 2023 eneo la Mbwewe…