JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2023

Daktari feki ahukumiwa miaka 15 jela Tabora

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemhukumu Amos Mathias, mkazi wa Kijiji cha Nhungulu, Wilaya ya Nzega mkoani hapa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia kwa kujifanya daktari. Hukumu hiyo imetolewa juzi na…

Watumishi Mahakama wapata mafunzo mfumo mpya wa manunuzi ‘NeST’

Na Mary Gwera, JamhuriMedia, Mahakama Mahakama ya Tanzania kupitia Kitengo cha Maboresho (JDU) imeandaa Mafunzo ya kujenga uelewa kwa Watumishi wake kuhusu matumizi ya Mfumo mpya wa Serikali wa Ununuzi wa Umma kwa njia ya Mtandao unaojulikana kama (NeST). Akifungua…

Uchafuzi wa mazingira una mchango mkubwa katika kupungua kwa uzazi duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) hivi karibuni limeripoti – mwanandoa mmoja kati ya sita duniani ana tatizo la ugumba. Kwa miaka mingi watu wamekuwa wakielekeza lawama zao kwa wanawake linapokuja swala kukosa mtoto katika ndoa – hasa katika nchi za…

Trump, wengine 18 washtakiwa kwa kutengua uchaguzi

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameshtakiwa kwa kujaribu kutengua uchaguzi wa 2020 katika jimbo la Georgia. Yeye na wengine 18 wameshtakiwa kwa makosa ambayo ni pamoja na ulaghai katika hati ya mashtaka 41 iliyotolewa kwa jopo la majaji…

Uhamiaji yawakamata wahamiaji haramu 65 raia wa Ethiopia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Idara ya Uhamiaji imewakamata wahamiaji haramu 65 raia wa Ethiopia ambao walikuwa wanasafirishwa kwa gari ya kubebea mafuta. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari kutoka idara hiyo imesema kuwa wahamiaji hao walikuwa wanasafirishwa…