JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2023

Madaktari bingwa wa macho waweka kambi Mbarali

Madaktari Bingwa wa macho wameweka kambi ya wiki moja Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwatafuta wagonjwa wenye matatizo ya mtoto wa jicho ambapo mpaka sasa wagonjwa 20 wamefanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho kwa siku ya leo….

NHC yatawangazia kiama wadaiwa sugu

Shirika la nyumba la Taifa (NHC) limeingia makubaliano na waratibu wa taarifa sahihi za waombaji wa mikopo ‘CREDIT INFO BUREAU’ ili kupeleka majina ya wadaiwa sugu wasiweze tena kupata mikopo kwenye taasisi za kifedha ikiwemo mabenki. Hayo yamesemwa leo Agosti 15, 2023…

Yakubu: Waigizaji nchini wanamchango katika kuwaondolea watu ‘stress’

Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao na baadhi ya viongozi wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Bw. Salum Abdul Mchoma…

Rais Samia azindua Safina House Dodoma

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Angikana Central Dodoma (DCT) lililopewa jina la Safina House huku akiweka msimamo wake Katika kuimarisha amani na…

Mashindano ya Polisi Jamii Cup DPA kuchangia Benki ya Damu salama

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kimeandaa mashindano ya Polisi Jamii yatakayo shirikisha wananchi pamoja na askari wa Jeshi hilo lengo likiwa ni kuwaleta…