JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2023

Baraza la vyama vya siasa nchini laonya wanasiasa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Baraza la Vyama vya siasa nchini limewataka viongozi wa Vyama vya Siasa kujiepusha kutumia lugha za matusi,ubaguzi,udhalilishaji,upotoshaji na kubeza maendeleo na badala yake katika kutimiza malengo yao ya kisiasa wajikite kunadi sera zao kwa kujenga hoja…

NMB, ATCL wazindua mfumo wa malipo tiketi za ndege

Na Mwandishi Wetu , JamhuriMedia Benki ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege ‘Anga Rafiki – Tiketi Yako Imebima,’ unaowapa fursa wasafiri wa kulipia tiketi kupitia matawi,…

Wakazi kijiji cha Pande Kilwa wa walilia barabara

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Wakazi wa kijiji cha Pande plot wilayani Kilwa mkoani Lindi wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassankuwatatulia kero ya barabara kama alivyo ahidiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete. Akizungumza kwa niaba ya wenzake Mahamudi Mandodo amesema wakazi wa…

Waislamu waipa tano Serikali suala la mtaala wa somo la dini ya kiislamu

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Jumuiya ya taasisi za kiislamu Tanzania wameishuku, Serikali kwa kutoa ushirikiano mkubwa katika suala la mtaala wa somo la dini ya kiislam na hatimaye kuliweka sawa. Akizungumza na waandishi wa habari Amiri Mkuu wa Jumuiya ya…

Muuguzi anayedaiwa kubaka mjamzito aachiwa huru

Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Tabora Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilayani Sikonge mkoani Tabora imemwachia huru Afisa Muuguzi daraja la II wa Hospitali ya wilaya hiyo Rayson Duwe aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la kubaka mama mjamzito aliyekuja kupata matibabu hospitalini hapo….