JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2023

Trump ajisalimisha gerezani, aachiwa kwa dhamana

Donald Trump amejisalimisha huko Georgia kwa tuhuma za kupanga njama ya kutengua matokeo ya uchaguzi wa jimbo hilo wa 2020 katika hatua ya kukamatwa kwa mara ya kwanza kwa rais wa zamani wa Marekani. Trump alilazimika kulipa bondi ya dhamana…

KKKT wamrejesha tena askofu Malasusa

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) , umemchagua kwa kishindo askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Drk Alex Malasusa kuwa mkuu mteule mpya wa KKKT kupokea nafasi ya Askofu Dk Frederick…

Serikali yaonya wanaotumia makao ya watoto kujinufaisha

Na Raymond Mushumbusi, JamhuriMedia,Dodoma Serikali imewaonya wamiliki wa Makao ya kulea watoto nchini waliogeuza Makao hayo kujinufaisha kwa misaada mbalimbali inayotolewa hasa ya fedha. Onyo hilo limetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum…

Wananchi wa Mbarali na kata sita kawasikilizeni wagombea, mpige kura

Na Mroki Mroki, JamhuriMedia Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Septemba 19,2023 kuwa ni siku ya kupiga kura katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Mbarali na Kata sita (6) za Tanzania Bara. Tume ilitangaza uchaguzi huo baada ya kuketi katika…