JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Dkt.Jingu ashiriki kongamano la wanawake China na Afrika

Na WMJJWM, CHINA Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu ameshiriki Kongamano la kimataifa la Ushirikiano kati ya China na Africa katika masuala ya Usawa wa kijinsia  (China – Africa Women’s Forum) Tarehe…

Msonde: Serikali haitomsamehe atakayekwamisha ujenzi wa shule

Na James Mwanamyoto – OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde amesema Serikali haitomsamehe yeyote atakayebainika kukwamisha ujenzi wa miundombinu ya elimu katika shule za Sekondari na msingi. Dkt….

Tuzo za ZIFF 2023 kutolewa leo

Na Andrew Chale, JamburiMedia, Zanzibar WAZIRI wa Nchi Ofisi wa Makamu wa pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa tuzo za Tamasha la Filamu la Kimataifa la Nchi…