JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Kikongwe auawa kwa kukatwa mapanga

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika hali isiyo kawaida kikongwe mmoja mwenye umri wa miaka zaidi ya 90, Hilda Ngasa mkazi wa Mtaa wa Kinyambwa Kata ya Kikuyu Mkoani Dodoma ameuawa kwa kukatwa mapanga na mwanaume mmoja aitwaye Yohana Luhanga ambaye anadhaniwa…

Bashe atoa rai kwa nchi za SADC kushirikiana uzalishaji wa chakula

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa rai kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kushirikiana katika uzalishaji wa chakula kwa mpango utakaonufaisha nchi zote wanachama. Bashe ameyasema hayo leo alipowasilisha mada kuhusu kilimo cha kisasa kama njia…

LATRA yasitisha ratiba ya mabasi 38 ya New Force

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesitisha ratiba ya mabasi 38 ya kampuni ya New Force yanayofanya safari zake kuanzia alfajiri. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, CPA Habibu Suluo amesema sababu kubwa ya kusitisha ratiba hiyo ni kutokana na wimbi la…

LDTA yakoleza uwekezaji bandari ya Dar es Salaam

Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Chama Cha Madereva wa Malori na Mabasi ya Masafa Marefu na Mafupi Tanzania (TLDTA) kimesema kuwa uwekezaji wa kuboresha Bandari ya Dar es salaam unaotaka kufanywa na serikali ya Tanzania kwa shirikiana na serikali ya Dubai…