JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Prof.Shemdoe aongoza timu ya wataalam kwenda nchini Ireland

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe ameongoza timu ya wataalam kutoka nchini Tanzania unaotembelea nchi ya Ireland kwa ajili ya mashirikiano ya namna ya kuboresha Sekta ndogo ya Maziwa Nchini Tanzania Kwa…

Bahi kinara ukamilishaji miradi ya BOOST

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amekabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Godwin Gondwe madarasa 51, vyoo 63 na nyumba 1 ya waalimu ikiwa ni sawa na shule 7 zilizokamilika katika Wilaya ya Bahi….

Ulega: Wizara imejipanga kuwawezesha vijana,wafugaji kufuga kisasa

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Wizara yake imejipanga  kuanzisha programu ya BBT Mifugo katika Ranchi ya Mkata kwa lengo la kuwawezesha vijana na wafugaji wengine kufanya ufugaji wa kisasa na wenye tija kubwa zaidi kwao na kwa…

‘Redio na runinga 38 duniani zinarusha matangazo kwa lugha ya kiswahili ‘

Eleuteri Mangi, WUSM, Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amewataka Wahariri kushirikiana na mabaraza ya Kiswahili ya BAKITA na BAKIZA ili kuendeleza lugha ya Kiswahili. Amesema kuwa lugha ya Kiswahili imevuka…

Wahariri watakiwa kulinda lugha ya kiswahili kuepuka upotoshaji

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah amewataka wahariri kuzingatia matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili ili kukikuza zaidi duniani. Hayo ameyabainisha leo Julai 4, 2023 wakati akifunguwa kongamano lililowakutanisha wahariri wa habari kutoka Tanzania Bara na Visiwani…

Raid Dkt.Samia awataka wana Mbarali kuenzi mazuri ya mbunge wao

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wana-Mbarali wamuombee na kuenzi mazuri yote aliyofanya enzi za uhai wake aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Francis Mtega. Hayo yamesemwa leo (Jumanne, Julai 4, 2023) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipoongoza waombolezaji…