JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Kunenge: Rais Samia anafanyakazi kubwa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge ameziagiza wilaya, Halmashauri kujiwekea mipango kazi, mikakati ambayo inakwenda kuboresha mazingira ya kibiashara ili kuinua sekta ya biashara katika kuongeza pato la Taifa . Aidha ametoa rai kuimarisha…

Majaliwa akutana na balozi wa Tanzania nchini Uturuki

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Seif Idd Bakari aweke msisitizo katika kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi, kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa…

Misaada hii itasaidia kutekeleza miradi ya maendeleo” – Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na msaada wa fedha zilizotolewa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa lengo la kuimarisha miradi itakayoongeza tija na ufanisi katika sekta mbalimbali ambayo inatekelezwa nchini. Akizungumza…

‘Tunaishukuru Korea Kusini kusaidia huduma za afya’

NAIBU Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Julieth Magandi amesema Serikali ya Korea Kusini kupitia vyuo na taasisi zake, imekuwa na ushirikiano uliowezesha hospitali kuongeza ufanisi katika utoaji huduma bora kwa wananchi. Dk Magandi amesema hayo leo alipokutana na…