JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Prof: Lumumba: Kiswahili ni kitega uchumi

Na Eleuteri Mangi, WUSM, Zanzibar Prof. Patrick Lumumba amesema ukitaka kuelewa lugha ni lazima kutambua muktadha wake na Kiswahili ni kitega uchumi kinajitosheleza kisayansi kwa maendeleo ya watumiaji wa lugha hiyo. Prof. Lumumba amesema hayo Julai 5, 2023 Zanzibar wakati…

Shule za sekondari 92, msingi 154 Pwani zaanza kilimo cha mbogamboga kukabiliana na lishe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Chalinze Shule za Sekondari 92 pamoja na Shule za Msingi 154 Mkoani Pwani,zimeanza kilimo Cha mbogamboga ili kukabiliana na changamoto ya chakula shuleni. Inaelezwa hatua hiyo inakwenda kuchagiza mwamko wa elimu inayoendana na afya bora mashuleni. Akielezea…

Global Education Link yatoa fursa vyuo vya nje sabasaba

 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wakala wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link (GEL), imeendesha zoezi la kudahili wanafunzi vyuo nje ya nchi papo hapo kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa yanayoendelea kwenye vuiwanja vya mwalimu Nyerere maarufu kama sabasaba….

Mpango ashiriki hafla ya makabidhiano ya madarasa Buhigwe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanasimamia vema watoto wao kupata elimu kwa mustakbali wa Maisha yao na kuwa na uhakika wa wataalamu mbalimbali wa baadae…