JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Majaliwa:Kiswahili fursa ya kiuchumi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuzungumza na kusoma lugha ya Kiswahili kwa kuwa lugha hiyo ni fursa ya kiuchumi Duniani. “Kuwa mzawa wa lugha ya kiswahili pekee, unakuwa hujapata fursa ya  kunufaika nacho, muhimu ni kuendelea kujifunza…

DKT. Mwinyi kufungua maadhimisho ya kupinga rushwa barani Afrika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Husein Ali Mwinyi anatarajia kuzindua Maadhimisho ya siku ya mapambano dhidi ya Rushwa barani Afrika Mkoani Arusha. Akiongea na vyombo vya Habari Jijini Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela…

Mkulima wa tumbaku ampongeza Rais Samia, aahidi kusaidiana na Serikali

Na Dvid John,Tabora Mkulima wa zao la Tumbaku wilayani Sikonge Mkoani Tabora Masoud Kilyamanda amempongeza Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa harakati anazozifanya za kuhakikisha kuwa sekta ya kilimo inanufaisha walengwa hususani zao la tumbaku ambalo makampuni ya ununuzi…

Mwanafunzi TIA adaiwa kujinyonga kisa mapenzi

Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA), mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan amekufa baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa ni kutokana na ugomvi wa kimapenzi. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Nicodemus Katembo amethibitisha kutokea…