JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kuwakutanisha wadau wa ndani na nje Oktoba 25

Wananchi na wadau wanaotembelea maonesho ya Sabasaba wamekaribishwa kupata taarifa kuhusu namna ya kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kwa kujisajili katika tovuti maalum ya mkutano. Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini…

Mwekezaji mzawa wa madini ya Tanzanite avunja rekodi Simanjiro

Franone Mining yavunja rekodi na kuishangaza Serikali Waziri wa Madini Dkt.Dotto Biteko amemshuruku Rais Samia Suluhu Hassan  juu ya uamuzi wake wa Mgodi wa Madini ya Tanzanite   ‘ Kitalu C ‘ cha kumpata Mwekezaji mzawa na Mtanzania wa Kampuni ya…

‘Balozi Karume hakubadilisha tabia licha ya kuonywa’

Na Is-Haka Omar, Zanzibar Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Kusini Unguja kwa kauli moja imemfukuza uanachama kada na mwanachama mkongwe wa chama hicho Ali Abeid Karume kutokana na mwenendo wake wa kukiuka maelekezo ya maadili, miongozo na…

Simba yapanda viwango vya ubora barani Afrika

Klabu ya Simba imepanda kwa nafasi mbili kwenye viwango vya ubora Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Msimu uliopita Simba ilikuwa nafasi ya tisa sasa imesogea mpaka nafasi ya saba kuelekea msimu ujao Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya…

Bonanza la michezo la miaka 60 ya JKT lafana Dodoma

Timu za Veterani JKT Tanzania (Bluu) na Veterani Twalipo (jezi nyeupe) wakishindana katika mchezo wa soka wakati wa Bonanza la Michezo la kuadhimisha miaka 60 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwenye viwanja vya Kilimani Club jijini Dodoma.  Michezo mingine ya…