JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

JK,mkewe watembelea jamii ya Wahadzabe

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma Kikwete wamezuru jamii ya Wahadzabe wanaoishi katika Kijiji cha Endamagha kilichopo Kata Tarafa ya Eyasi, Wilaya ya Karatu. Katika ziara yao hiyo Dkt. Kikwete na mkewe wamepata fursa…

NHIF yasitisha mkataba vituo 48 vilivyobainika kufanya udanganyifu

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),umesitisha mkataba na vituo vya kutolea huduma 48 na waajiri binafsi 88 ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua watoa huduma 139 wa sekta ya afya. Hayo yamebainishwa leo Julai 11, 2023 na Mkurugenzi…

Rais Samia:Afrika sio salama kwa wala rushwa

Na Immaculate Makilika, JamhuriMedia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa ni mfumo wa kisheria unaoziwezesha nchi kushirikiana katika kuzuia vitendo vya rushwa,…

‘Kibali wanaume wanaotaka kusuka ni milioni moja’

Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar, Dkt. Omar Adam amesema baraza lao limeweka kibali maalum cha kusuka nywele kwa wanaume ambacho hutolewa kwa gharama ya shilingi milioni moja. Dkt Adam ameyasema hayo akiwa kwenye mahojiano…

‘Vitendo vya kuvuliwa nguo kwenyeupekuzi mgodini limekomeshwa’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Manyara Matukio ya wadau wa madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kuvuliwa nguo kwenye upekuzi katika lango la kutokea ndani ya ukuta unayozunguka migodi hiyo yamekomeshwa. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Dkt…