JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Ruvuma kuzindua wiki ya unyonyeshaji maziwa Kata ya Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Mkoa wa Ruvuma unatarajia kuzindua wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama Duniani,Agosti Mosi,2023 katika Kituo cha Afya kata ya Ruvuma kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki…

Katibu Mkuu UWT awataka wanawake kusimamia maadili mema ya malezi

Na Cresensia Kapinga,Songea. KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Dkt. Philis Nyimbi amewataka wazazi na walezi nchini kusimamia maadili mema ya malezi kwa watoto wao kwa kuwa hivi karibuni kumekuwepo kwa vitendo vilivyokithiri vya mmomonyoko wa maadili jambo…

Mbarawa: Bandari lazima ziongozwe na kuendesha kimkakati

Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Mwanza Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa gati na miundombinu muhimu katika bandari za Kibirizi na Ujiji mkoani Kigoma ili kuongeza ufanisi na kuvutia wasafirishaji wengi kutumia bandari hizo zinazotoa huduma katika…

Dkt. Mpango ataka NDC kujikita katika elimu ya kupambana na matishio ya ulimwengu.

Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA, Dar Es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amekitaka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutilia mkazo masomo yaliyojikita katika utatuzi wa changamoto na tafiti zenye mwelekeo…

Rais Mwinyi azionya taasisi zinazokwepa mifumo ya kisasa kwenye utendaji wao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezionya taasisi za Serikali zinazokwepa matumizi ya mabadiliko ya mifumo ya kisasa kwenye utendaji wao. Amesema, kuna baadhi ya taasisi zinakiuka matumizi na…

Tani 13 za dawa za kulevya za kamatwa, watuhumiwa 4987 mbaroni

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya hapa nchini limefanikiwa kukamata tani 13 .717 za dawa za kulevya pamoja na watuhumiwa 4987 katika maeneo mbalimbali…