JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Serikali yatoa milioni 560 kujenga sekondari mpya Mbinga

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Mbinga Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan Imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kujenga sekondari mpya wilayani Mbinga. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga…

Watu sita wauawa katika maandamano ya upinzani nchini Kenya

Watu sita waliuawa Jumatano nchini Kenya katika mapambano kati ya Polisi na waandamanaji walioshiriki maandamano ya upinzani yaliyopigwa marufuku, maafisa na polisi wameliambia shirika la habari la AFP. Baada ya ghasia hizo za Jumatano, Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure…

Marekani yapeleka msaada wa kijeshi Ukrane

Wanachama wa Nato wanafikiria kuisaidia Ukraine silaha zaidi na risasi kwa ajili ya kuendelea kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi.  Nchi ya Marekani imekuwa mstari wa mbele kutoa msaada mkubwa wa kijeshi kwa Ukraine, ambapo imetangaza tena kuwapa msaada mpya…

Ridhiwani: Serikali imedhamiria kuinua kaya maskini kwa kupeleka fedha za TASAF

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri nchini zimetakiwa kushirikiana na Serikali kupunguza umaskini kwenye baadhi ya kaya ikiwemo  ,kuvikopesha vikundi vya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini( TASAF) ili viweze kujiinua kiuchumi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi…

Tazama matokeo kidato cha sita

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2023 NA UALIMU 2023 YAMETANGAZWA Bofya link chini kutazama matokeo haya MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/dsee/index.htm MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE) 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/gatce/index.htm MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE) 2023…

Azimio wamkalia kooni Ruto, watangaza maandamano tena wiki ijayo

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA, Nairobi Katibu mkuu wa chama cha upinzani cha ODM nchini Kenya ambaye pia ni Seneta wa jiji la Nairobi Edwin Sifuna ameitisha maandamano ya siku tatu kuanzia wiki ijayo, akiapa kuzidisha maandamano dhidi ya serikali…