JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Makamba azitaka kampuni za bima nchini kutumia fursa katika sekta ya nishati

Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nishati, January Makamba tarehe 15 Julai, 2023 jijini Arusha wakati…

Bashungwa aeleza mabilioni yaliyotolewa na Serikali wilayani Karagwe

Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameishukuru Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa katoa zaidi ya shilingi bilioni 1.27 kujenga vyumba vya madarasa, vyoo na miundombinu mingine ya shule za msingi katika halmashauri ya wilaya…

Kinana apongeza uamuzi wa Rais Samia kuunda Wizara ya Mipango

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amepongeza uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hassan wa kuunda wizara inayohusika na mipango. Pia, amepongeza hatua ya kuifanya Tume ya Mipango kuwa chini ya ofisi ya Rais…

Injinia Kundo ampa tano Rais Samia

Na Mathias Canal, JamhuriMedia,Simiyu Mbunge wa Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu Mhandisi Kundo Mathew amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha…