JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Chongolo, Ummy,Prof Kitila, watoa somo uwekezaji bandari

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema suala la uwekezaji kwenye bandari si la Rais Samia Suluhu Hassan, lipo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema hayo mjini Korogwe, Tanga jana kwenye…

Aweso: Mradi wa Kasulu Vijiji uwe somo kwa sekta ya maji

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Makere na kurudhishwa na Utekelezaji wake na kuuzindua rasmi na kuelekeza sekta ya maji iufanye mradi huu kuwa somo la kujifunzia katika kutekeleza miradi yake. Mradi huu unahudumia…

TMA yatoa ufafanuzi uwepo wa hali ya hewa ya El Nino

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa taarifa juu ya mwenendo wa uwepo hali ya El Niño katika bahari ya Pasifiki na athari zake nchini.  Kwa Mujibu wa Taarifa ambayo imetolewa na Mamlaka hiyoleo imeeleza…

Paroko auawa kwa kupigwa na chuma kichwani Arusha

Na Mwandudhi Wetu, JamhuriMedia, Arusha  Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Karatu mkoani Arusha, Pamphili Nada, ameuwa kwa kupigwa na kitu kizito na mtu anayesadikiwa kuwa na matatizo ya  akili ambaye alilazimisha kuingia kanisani kwa madai ya kutaka kusali. Hata…

Jeshi la RSF lateka Darfur Kusini

Jeshi la wapiganaji la Rapid Support Forces (RSF) limefanikiwa kumiliki Darfur Kusini huku kukiwa na taarifa zaidi za ukiukwaji wa haki za binadamu. Mapigano kati ya RSF na Jeshi la Sudan yamefanya familia kadhaa kuvunjika na kukosa makazi. Zipo taarifa…