JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

TPDC yapaa kiutendaji, yajiendesha kwa faida

Na Mwandishi Wetu Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeimarika kifedha kwa kupata faida ya Sh bilioni 97.78 mwaka 2021/22 ukilinganisha na Sh bilioni 22.92 kwa mwaka 2020/21. Aidha mizania ya fedha (Balance Sheet) imekuwa imara zaidi kutoka Sh…

Canada yatoa bil.240/- kwenye mfuko wa afya wa pamoja

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Canada imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 240 kwenye Mfuko wa Afya ya pamoja (Health Basket Fund) ili kusaidia Sekta ya Afya nchini. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha hayo Julai 20, 2023 wakati…

Mkutano wa Polisi wanawake duniani fursa kuwajengea uwezo

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam Mkutano wa Umoja wa askari wa kike duniani (IAWP-international Association of Women Police) kanda ya Afrika unatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia Julai 22-29, 2023 ambapo utaambatana na mafunzo…

Magonjwa yasiyoambukiza huchangia asilimia 33 ya vifo nchini

Na Mwandishi Wetu Magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani asilimia 33 ya vifo vyote nchini huku takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaidi ya vifo milioni 41 sawa na asilimia 71 ya…

SMZ kulinda urithi wa hifadhi Mji Mkongwe

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali yake inaendelea kulinda urithi wa hifadhi ya kimataifa ya Mji Mkongwe kwa kuzingatia kanuni na taratibu zilizowekwa. Dk Mwinyi amesema hayo Ikulu, Zanzibar jana alipokutana na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa…

Dkt.Biteko afuatilia maendeleo ya mradi uchimbaji madini ya mchanga mzito Pwani, Kigamboni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amefuatilia maendeleo ya ulipaji fidia kwa wananchi wa maeneo ya Mwasonga, Sharifu na Madege yaliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam ili kupisha eneo linalotarajiwa kujengwa mradi wa uchimbaji madini ya…