JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: July 2023

Vyuo vikuu 15 bora Malasyia kuonyesha fursa za masomo Dar

Na Mwandishi Wetu Vyuo vikuu vikubwa 15 vya nchini Malaysia vinatarajia kufanya maonyesho hapa nchini kwa lengo la kuwaonyesha Watanazania fursa mbalimbali za kielimu zinazopatikana kwenye vyuo hivyo. Maonyesho hayo yatafanyika kwenye hoteli ya Verde Zanzibar tarehe 28 mwezi huu…

Waziri Mkuu apongeza uboreshaji huduma Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuboresha huduma na mazingira ya hospitali hiyo. Majaliwa ameyasema hayo leo alipotembelea Hospitali hiyo kumjulia hali ndugu yake aliyelazwa…

Ridhiwani: Taaluma ya uuguzi ni kujitoa na yenye uthubutu

Na Lusungu Helela, JamhuriMedia,Chalinze Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Ridhiwani Kikwete amesema taaluma ya Uuguzi ni kazi ya uthubutu, utayari pamoja na kujitoa kwa ajili ya kuwahudumia wenye mahitaji ya kiafya huku akiwataka…

Ujenzi barabara ya lami Likuyufusi- Msumbizi waiva

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Serikali inatarajia kuanza mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nzito ya mpakani mwa Tanzania na Msumbiji yenye urefu wa kilometa 124 kutoka Likuyufusi hadi Mkenda wilayani Songea mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa…

Uchunguzi ufanyike kuzuka kwa moto bonde la Mzakwe

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Dodoma kuhakikisha vinawasaka na kuwabaini wote waliohusika na uchomaji moto katika bonde la mzakwe hii. Senyamule ametoa agizo hilo jana mara baada ya kufika katika eneo…

Rungwe yamshukuru Rais Samia kufanikisha mapambano ya vifo vitokanavyo na uzazi

Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imemshukuru Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kufanikisha mapambano ya vifo vitokanavyo na uzazi pingamizi, ambapo katika hospitali ya wilaya wanawake zaidi ya 350 wanajifungua kwa mwezi wakiwa salama na watoto. Uongozi wa wilaya hiyo…