Month: June 2023
Odinga kuongoza maandamano dhidi ya Serikali ya Rais Ruto
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anatarajiwa kuongoza maandamano nchini Jumanne. Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutia saini mswada Fedha 2023 na kuufanya kuwa sheria. Kuporomoka kwa mazungumzo ya wanachama 14 ya pande mbili kati ya masuala mengine ndio…
Breaking news;Taharuki bungeni, Spika aahirisha Bunge
Katika hali isiyotarajiwa Spika wa Bunge Tulia Ackson ameharisha kwa muda kikao chake wakati wabunge wakiendekea kwenye kipindi cha maswali na majibu leo Juni 27, 2023 baada ya king’ora kinachoashiria kuna jambo la hatari. “Waheshimiwa wabunge hiyo sauti inaashiria tutoke…
Dkt. JK aipongeza Wizara ya Maji kufanikisha TanWIP
Wizara ya Maji imepongezwa kwa kukamilisha Programu ya Uwekezaji katika Sekta ya Maji (TanWIP) 2024-2030 hapa nchini, ambayo utekelezaji wake utakuwa na thamani ya Dola za Marekani Bilioni 15.02 Rais wa mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete…
Jamii yatakiwa kuwekeza kwenye afya ya mtoto kuchochea uchumi wa nchi
Na Dotto Kwilasa, Jamhurimedia ,Dodoma Asilimia 66 ya watoto kuanzia umri wa siku 0 hadi miaka 8 katika jangwa la Sahara wanakabiliwa na kutokuwa na utimilifu wa akili jambo ambalo linaweza kusababisha kuwa na watu ambao hawawezi kuwa na uhakika…