Month: June 2023
Serikali yawakaribisha wawekezaji wa Burundi kuwekeza nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Burundi kuwekeza Tanzania kutokana na mazingira bora ya biashara yaliopo na kwamba Tanzania ni sehemu salama ya kuwekeza mitaji yao. Makamu wa Rais amesema…
Waziri Tax afanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Andrey Avetisyan katika ofisi za Wizara Jijini Dodoma leo Mei 31, 2023. Katika mazungumzo hayo, viongozi…
Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa TLP kufanyika Juni 18,2023
Mhandisi Aivan Maganza ambaye ni Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), amesema kuwa uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti chama hicho ngazi ya taifa utafanyika Juni 18, 2023. Akizungumza na waandishi wa habari jijini katika Makao Makuu ya…
Tanzania na Kenya zajadiliana uimarishaji mpaka wa kimataifa
Na Munir Shemweta, Jamhuri,Media, Arusha Tanzania na Kenya ziko katika kikao cha majadiliano ya kuendelea na kazi kuimarisha mpaka wa kimataifa wa nchi hizo mbili kipande cha awamu ya tatu cha kutoka Namanga mkoani Arusha hadi Tarakea Kilimanjaro. Kikao hicho cha…
Serikali yateketeza hekari 101 na magunia 482 ya bangi Arusha
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ( DCEA), imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi sawa na kiasi ya kilo 550 za bangi mbichi pamoja na magunia 482 ya aina hiyo ya dawa za kulevya…