Month: June 2023
Jaji Makungu ateuliwa kuwa Jaji Mahakama ya Afrika Mashariki
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania, Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Divisheni ya Rufani. Uteuzi huo ambao umefanyika mjini Bujumbura, Burundi katika Mkutano wa Marais wa Nchi…
Jafo: Athari za mazingira zimesababisha mfumuko wa bei
……………………………………………………………….. Imeelezwa athari za kimazingira nchini zimechangia kupanda kwa bei ya vyakula ikiwemo unga wa mahindi kutoka na kukosekana kwa mvua na hata maeneo ilikonyesha ilikuwa ni chini ya wastani. Hayo yameelezwa leo Juni 1,2023 jijini Dodoma na Waziri wa Nchi…
Watu 15 wafamilia moja wafariki kwa kunywa uji Namibia
Watu 15 wa familia moja wamefariki nchini Namibia baada ya kunywa uji ambao maafisa wanaamini ulikuwa na sumu. Hili ni miongoni mwa matukio mabaya zaidi nchini humo ya maafa yanayotokana na chakula kibovu. Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa…
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya afutiwa uanachama
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Mbeya vijijini kimetangaza kumfutia uanachama Joseph Mwasote ‘China wa China’ ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mbeya akidaiwa kuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama hicho. Akitangaza maazimio ya Kamati…
Waziri Mkuu atoa maagizo kwa Waziri wa Madini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Madini, Dkt. Dotto Biteko afuatilie taasisi za fedha zinazowakopesha wachimbaji wadogo kwa kuangalia viwango vya riba vinavyotolewa na aina ya shughuli wanazozifanya wajasiriamali hao ili kurahisisha urejeshwaji wa mikopo. Ameyasema hayo leo (Alhamisi,…