JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

Wakala wa meli Tanzania waunga mkono ujio wa DP World

Na Mwandishi Wetu Chama cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam, kikisema kuwa uwekezaji huo utasaidia kuongeza ufanisi wa bandari na kukuza…

Wadau wa afya washauriwa kushirikiana MSD kutatua mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Rehema Madenge, amewataka wadau wa afya mkoani humo, kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa (MSD) ili kuboresha huduma na kutatua changamoto mbalimbali zinazoukabili mnyororo wa ugavi wa bidhaa…

Aweso akiri kuwepo udhaifu kwa baadhi ya miradi ya maji nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Licha ya Serikali kutumia fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji katika maeneo mengi nchini bado lipo tatizo la miradi hiyo kushindwa kuwa endelevu na kuisababishia hasara Serikali. Waziri wa Maji nchini…

AFF na Muhimbili kuimarisha ushirikiano

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Taasisi ya African Future Foundation (AFF) ya nchini Korea itaendelea kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) ili kuongeza ujuzi na weledi kwa watalaamu wa Hospitali hiyo. Hayo yamesemwa leo na Rais…

Assemble waipa Muhimbili luninga 10

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance (T) Ltd imetoa msaada wa luninga 10 kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ikiwa ni sehemu ya mpango wa kampuni hiyo kurejesha kwa jamii. Akipokea msaada huo…

Wasomi na wanazuoni watoa dira kwa Polisi katika mabadiliko ya teknolojia na uhalifu

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Wasomi na wanazuoni wameliomba Jeshi la Polisi kuendana na mabadiliko ya duniani ya sasa ambayo imejikita zaidi katika tehama na tafiti ambazo zitaleta tija katika jamii na Taifa kwa ujumla husasani…