JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

Waziri Mchengerwa uso kwa uso na Trump Jr Tanzania

Na Mwandishi Wetu Jamhuri Media Waziri wa Maliasilina Utalii, Mohammed Mchengerwa, jana Mei 6, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump, Donald Trump Junior, aliyeko nchini kufanya “Royal Tour.” Katika…

Gwajima aitaka jamii kuwajibika kuwalinda wazee

Na WMJJWM, Dodoma Wakuu wa Mikoa wameombwa kuhakikisha elimu ya kina inatolewa kwa wananchi juu ya haki, ulinzi, usalama na ustawi wa wazee. Maelezo hayo yametolewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Dkt. Dorothy Gwajima…

Fedha za kulipa deni la serikali zaongezeka kutoka Tril 9.1 hadi Tril 10.4

Serikali imeongeza fedha kwa ajili ya kulipa madeni kutoka Sh9.1 trilioni mwaka 2022/23 hadi Sh10.4 trilioni kwa mwaka 2023/24. Hayo yamesemwa leo Juni 7, 2023 na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na…

FIFA:Yanga walistahili ushindi pia, CAF angalieni upya goli la ugenini

Na mwandishi Wetu Jamhuri Media Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu  Duniani (FIFA) amelitaka Shirikisho la Mpira wa miguu Barani Afrika (CAF) kuangalia upya kanuni la goli la ugenini kwa kuwa linaunyima uhalali wa usawa wa point na usawa…

TPA yakanusha upotoshaji, yafafanua ujio wa DP World Tanzania

Na Mwandishi wetu Jmhuri Media Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) baada ya taarifa zilizosambaa kuhusu bandari ya Dar es Salaam kutaifishwa huku imewataka Watanzania kupuuza taarifa za upotoshaji huo zinazodai kwamba serikali imepanga kuipa kampuni ya DP World…