Month: June 2023
Rais Museveni akutwa na Korona
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema ameambukizwa Uviko-19 baada ya moja ya vipimo vitatu vilivyofanyiwa uchunguzi kubainika kuwa na virusi. Museveni, ambaye alitoa hotuba ya hali ya taifa mapema Jumatano, alisema alijihisi kuwa na homa kidogo, hali iliyomfanya kupimwa. Katibu…
Rais Samia amteua Prof. Makubi kuwa Mkurugenzi MOI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wa taasi mbalimbali ambapo amemteua Prof. Abel N. Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI). akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda…
Wanafunzi wa St Joseph Dar wabuni Satellite
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamebuni Satellite ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu Dola za Marekani 250,000. Wanafunzi hao ni Steven Makunga, David Seng’enge na Doris Ndaki wanaosoma…
Pwani yapunguza changamoto ya kutojua kusoma, yanne kitaifa
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Kusoma Kuandika na Kuhesabu (KKK) vinategemeana na endapo hutojua Kusoma Kuandika ama Kuhesabu basi mwendo wa elimu huwezi kuufikia. Kutokana na hilo, sekta ya elimu mkoa wa Pwani imejiwekea mikakati mbalimbali ya kuongeza nguvu mwaka 2023-2024 kupunguza…
Kagame awafuta kazi wanajeshi 200
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda na maafisa 14 wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF). Pia ameidhinisha kutimuliwa kwa wanajeshi 116 wa vyeo vingine na kuidhinisha kusitishwa kwa kandarasi za…