JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

Tanzania,Zambia kutatua changamoto za usafirishaji Tunduma

Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto za usafirishaji wa mizigo baina ya nchi hizo hususani foleni ya maroli katika eneo la Tunduma ili kupunguza gharama na muda kwa wasafirishaji. Akizungumza mara baada ya kikao cha cha Makatibu Wakuu, Wataalam na…

Mawakili wa Serikali watakiwa kutatua migogoro kwa njia ya majadiliano

Mawakili wa Serikali wametakiwa kutatua migogoro kwa njia ya majadiliano na usuluhishi ili kutengeneza mazingira mazuri yatakayowavutia wawekezaji kuja kuwekeza nchini. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mary Makondo,wakati akifunga mafunzo ya siku tatu…

Mashirika waadhimisha Siku ya Bahari Duniani Dar

 NA Andrew Chale, JamhuriMedia Shirika lisilo la Kiserikali la Utamaduni na Maendeleo Afrika Mashariki [Culture and Development East Afrika] –CDEA kwa kushirikiana na mashirika mengine ya FIDEC na EMEDO wamefanya maadhimisho ya siku ya bahari duniani leo Juni 8,2023, iliyokuwa…

Kibajaji amjia juu Mbowe

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusende amemjia juu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Freeman Mbowe kwa kitendo cha kudai Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa…