JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2023

Senyamule aagiza Chemba kujipanga upya

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi katika Kijiji cha Magungu, Kata ya Mpendo, Wilaya ya Chemba na kukemea vikali uongozi wa Kijiji kukusanya fedha…

Tanzania yazindua ubalozi wake Austria

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini Vienna nchini Austria. Akizungumza katika uzinduzi huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Marekani yatenga fedha kupambana na UKIMWI nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesema Serikali ya Marekani kupitia Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Ukimwi (PEPFAR) imetenga dola za Marekani milioni 450 kwa ajili…

Zanzibar kunufaika na biashara ya kaboni

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis amesema Zanzibar inatarajia kunufaika na Biashara ya Kaboni wakati wowote kuanza sasa. Amesema hayo leo Juni 13, 2023 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu maswali ya Mbunge wa…

Mwijuma aikabidhi Yanga Kombe la Shirikisho la Azam Sports

Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia,Tanga Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma ameikabidhi Klabu ya Yanga Kombe la Shirikisho la Azam Sports mara baada ya kuifunga timu ya Azam kwa kwa 1-0. Finali hiyo imeikutanisha miamba hiyo ya soka…